Nimedownload virtual dj imezingua

Nimedownload virtual dj imezingua

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,570
Reaction score
8,328
Msaada, nimedownload virtual dj kwa pc yangu lakina linalia hovyohovyo, nikigonga ngoma mziki unalia hovyohovyo tatizo nini?
 
Msaada, nimedownload virtual dj kwa pc yangu lakina linalia hovyohovyo, nikigonga ngoma mziki unalia hovyohovyo tatizo nini?

Tatizo unagonga gonga mziki lazma ulie hovyo.
jaribu kuplay.
 
Edi wadau hii program inatamkwaje? Vicho dj au visho dj au vichuo dj?

Help
 
Ina vitu vingi sana labla hujui kuitumia
 
inanipa mzuka nikiwa hom
v8_audiomix.jpg
 
Edi wadau hii program inatamkwaje? Vicho dj au visho dj au vichuo dj?

Help

eee hivyohivyo ilimradi wameelewa..
hii kitu inakuwa kama zile TURN TABLE za ma-dj. Unakuwa unaweza kuplay music au ukaplay nyimbo mbili kwa wakati mmoja na pia ukawa unazi-mix unakuwa unasikia zile chuk chuk chik chuk.....
yana kama dj vile na mambo mengine mengi...
Hiyo pia unaweza ukaipata kwenye playstore kwa ajili ya smartphone yako.
kifupi ndio hivyo mi binafsi siipendi maana sioni cha maana zaidi.
 
Back
Top Bottom