security
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 322
- 75
Wakuu naomba utambuzi wenu. Kuna simu yenye jina hapo juu inauzwa nimeipenda kutokana na umbo lake maana ni flat hivi. Lakini ina kasoro katika screen touch kuna ufa umejitokeza sasa nahisi nitakosa spea ya touch. Kuna anayefahamu aina hii ya simu kabla sijatumbukia.