Huawei g630-U10

Huawei g630-U10

middo

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
207
Reaction score
56
Habar wadau. Natumia simu tajwa hapo juu , internal memory ya hii simu ni 4gb ambayo inanikaba sana kwenye swala ya kuupgrade na kuinstall some new app. Je ukiachana na kuroot kuna njia nyengine tena ambayo naweza tumia kuinstall some app kwnye SD na kama hakuna je app ipi ni maridhawa kuroot simu tajwa?? Natanguliza shukran kwenu
 
unaweza kuinstall ila kwanza ujue android version unaweza ukawa unainstall apps kupitia sd card
 
Back
Top Bottom