Habari zenu wana JF naombeni kujuzwa jinsi ya ku-root simu maana kuna baadhi ya apps nikifungua naambiwa nii-root kwanza alafu ndio niweze kutumia app hizo!!
Simu nyingi za huawei zinakuja zikiwa zimelockiwa bootloader, kwa hiyo ni vema uka unlock bootloader kwanza ndiyo process za kuroot zianze. Ingawa simu nyingi za huawei ukishaunlock bootloader basi una-install SuperSU, halafu unakuwa umeshapata root access.
Ni vema ukawa muangalifu sana ili usjije kukosea baadhi ya processes. Ama kama utashindwa tafuta mtu mwenye uzoefu wa mambo hayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.