una receiver au decoder ambayo ni hd?kama unayo basi kuna cable inaitwa hd cable ndio unachomeka hapo ili kama unapata hd channel ndio utaona tofauti yake sd channel ukitumia hiyo cable.....pia unaweza kuchomeka hata cp player ambayo ina mfumo wa hd,blueray nk...Naombeni kujua nini matuzi ya hdmi hubs kwenye tv. Kwa mfano nina tv yangu Ina HDMI1,2 na 3.functions zake ni zp? Asanten.
HDMI ni port inayo pitisha signal za digital kwa uwezo wa kufikia HD za juu ambazo ni 1080p . Pia utoa picha zenye muonekano mzuri zaidi pale unapo unganisha kwa kutumia cable ambayo inaitwa jina hilo hilo HDMI ambao pia hupitisha audio pamoja na picha kw apamoja .Unaweza tumia kwa Receivr,Decoder,DVD pleyer or Blue ray. lakini sio lazima uwe na HD DvD player or Blu Ray ili uweze tumia, una weza tumia HDMI cable hata kwa DVD playef ya kawaida yenyer HDMI port kwa ajili ya picha bora zaidi.
Naombeni kujua nini matuzi ya hdmi hubs kwenye tv. Kwa mfano nina tv yangu Ina HDMI1,2 na 3.functions zake ni zp? Asanten.
Bei zake vipi na nitapata wapi?
Bei zake vipi na nitapata wapi?
Nunua deki yenye HD utaona tofauti ya picha
HDMI ni port inayo pitisha signal za digital kwa uwezo wa kufikia HD ya juu ambazo ni 1080p . Pia hutoa picha zenye muonekano mzuri zaidi pale unapo unganisha kwa kutumia cable ambayo inaitwa jina hilo hilo HDMI ambao pia hupitisha audio na picha kwa pamoja .Unaweza tumia kwa Receiver,Decoder,DVD player or Blue ray. lakini sio lazima uwe na HD DvD player or Blu Ray ili uweze tumia, una weza tumia HDMI cable hata kwa DVD playef ya kawaida yenyer HDMI port kwa ajili ya picha bora zaidi.Kma TV yako ni Ina uwezo wa 3D, pia unatakiwa ununue HDMI cable ambayo ni high speed.
Je iwapo nina tv LCD AU LED na receiver ya HD kuna tofauti yoyote ya muonekano ktk channel zetu za tanzania?
kama una tv ya HD na DVD player ya HD ila movie husika sio HD kutakuwa na tofauti yoyote katika matumizi ya HDIM port na port za kawaida au HDMI inafanya kwa movies za HD tu pekee
hakuna tofauti kutokana hakuna hata chaneli moja ya tv bongo ambayo ni HD kwa hiyo muonekano ni ule ule tu mpaka iwe inatoa chaneli ya HD kama SSHD 1 au espnHD nakadhalika..
HDMI Cable?!!!!!!!!Inauzwa laki2 na nusu
Hiyo laki 2 na 50 elfu ni ya nini?Cable ya HDMI inauzwa kati ya sh elf 15 hadi elf 30 na haina effect yoyote kwenye muonekano wa picha.Tofauti yake kubwa ni waya mmoja unaoweza kubeba sauti na picha.Quality ya picha inategemea zaidi na source ya picha yenyewe.Kama source ya picha imetoa picha mbovu hata ungetumia kitu gani picha haitabadilikaInauzwa laki2 na 50elfu
Bei zake vipi na nitapata wapi?