MATLAB Ver 7.12 for Windows 7 (64-bit)

yutong

JF-Expert Member
Apr 15, 2011
1,601
338
Habarini ndugu zangu, wenzangu marafiki zangu wa JF, mimi natafuta Software ya Matlab Ver 7.12 for win7 na system yangu ni 64-bit. Naomba kwa yeyote ambaye anafahamu ni wapi naweza kuipata anielekeze. Natanguliza shukurani zangu kwa GreatThinkers wote.
 
Jaribu kudowload hii size ni 4.5 GB. http://thepiratebay.org/torrent/5428684/Mathworks.Matlab.R2010a.ISO-TBE

Assumpution
  • una network yenye kasi nzuri
  • kompyuta yako ina bittorent au vuze au program ya kukusaidia kudowload na unajua jinsi ya kuitumia.

Other wise tumia hiyo site kutafuta chochote unachohitaji kwa bei cheeee. kama una swali uliza. kama utaosa hivyoversion unaytaka hopeutafaniiwa kupata lstes zaidi au ya nyuma kidogo.

good luck
 
Mkuu ukifungua hiiyo link inakupeleka sehemu ambayo unatakiw akudowload na ukilik haifungui page

Jaribu kudowload hii size ni 4.5 GB. Mathworks.Matlab.R2010a.ISO-TBE (download torrent) - TPB

Assumpution
  • una network yenye kasi nzuri
  • kompyuta yako ina bittorent au vuze au program ya kukusaidia kudowload na unajua jinsi ya kuitumia.
Other wise tumia hiyo site kutafuta chochote unachohitaji kwa bei cheeee. kama una swali uliza. kama utaosa hivyoversion unaytaka hopeutafaniiwa kupata lstes zaidi au ya nyuma kidogo.

good luck
 
Mkuu ukifungua hiiyo link inakupeleka sehemu ambayo unatakiw akudowload na ukilik haifungui page

mcheki huyo Redsiver hope utafanikiwa hiyo link nimekuwekewa kuwa kua ssue unajua kutumia torrent. Ukiclick hiyo lin kuna shemu imeandikwa downlad this . but kudowload kirahiis ni vizuri kompyutayao iwe na torrent application kama bittoreent. kama huna bittreent au vuze ndio maana unakwama.

Kufupisha habari na kushauri wasiliana na Redsilverdog.
 
ebwana,hiyo utaipata Nanjing,kuna kijana mtz yupo humu atajitokeza,nadhani atawasiliana na wewe pindi akiona hii kitu
 
Back
Top Bottom