Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Padlocks are small and portable locks that have been used for several thousand years to defend against theft, unauthorized entrance, vandalism and sabotage. They first appeared in Ancient...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF natafuta s3 lakini sina utaalamu wakuitambua kama ni OG maana copy zipo nyingi sana, naomba msaada ili nipate nzuri for long life. Thank you
0 Reactions
7 Replies
1K Views
endapo itaweza kuiwasha je nitaweza kuweka kucheza playstation?
0 Reactions
3 Replies
5K Views
wakuu nawezaje kuweka whatsapp kwenye tecno t605
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimedownload Aptoide app,imekuja DS DOWNLOAD. Natakiwa kulog in, katika address au quickconnect natakiwa kujaza nini?Asante.
0 Reactions
1 Replies
686 Views
msaada wakuu hapo kwaanae jua kitu hiyo
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba kuuliza kitu. Nasikia kuna tv ambazo zinatumia betri ( 12volt ) pasipo invetor. je ufanyaji wake wa kazi ukoje. hapa tz zipo?. na bei yake ni kiasi gani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wadau? nimeshusha movies kadhaa toka kwenye hii website torrentsmovies.net ila kila nikijaribu kuzifungua ziko kwenye zipi file.sasa naambiwa niwekee pasword.nawezaje pata hizo pasword au...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba kusaidiwa kujuwa SCREENSHOTS ya samsung galaxy S4 inapigaje picha screen, maana mara nyingi sim ikiwa mfukoni naisikia ikipiga picha na nikiitoa nakuta picha ilizopiga, ila nikitaka kupiga...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Charlie Miller (left) and Chris Valasek hacking into a Jeep Cherokee from Miller’s basement as I drove the SUV on a highway ten miles away. Whitney Curtis for WIRED Hackers Remotely Kill a...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Msaada kwa anayeijua vizuri hiyo gari, nataka niifahamu ulivyo na engine inayotumia na sifa zake pia ma madhaifu yake kabla sijainunua kwa mtu hapa Mbeya
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Nimekua nikiendesha workshop kadhaa za electronics,ambapo tumekua tukijifunza na kuunda projects tofauti tofauti za electronics ambapo idea ya projec hizo nilikua nazitoa mwenyewe. Kwa mwezi wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimerenew line ya airtel kama siku tatu hivi zimepita. Chaajabu line hiyo ukiiset kwenye 3G inaondoka hewani. Lakini ukiweka line nyinginezo 3G inafanya kazi. Nimewapigia airtel lakini...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Heshima kwenu wote, Mimi ni kijana wa kiume nimemaliza degree yangu ya kwanza chuo kikuu cha dodoma Bsc. software engineering Kwa heshima na taadhima napenda kuomba nafasi ya internship kwenye...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salamu wanajamvi. Msaada kutoa hiyo SMS inanikera sana na napata shida hata kuandika haya maelezo. Nitatoaje huu ujumbe..
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nina simu aina ya tecno phantom Z inatatizo lakutokukubali kufanya updates za android yake.yani kila nikifanya updates inakataaa ina nambia network error sasa naombeni msaada kwa anae elewa...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Msaada wenu kwa yeyote ambae anajua applications za kuflash cmu ambazo zinaweza kufanya kazi kwenye windows 8 bits32 PCs plz naomba anisaidie na maujuzi kidogo
0 Reactions
7 Replies
835 Views
Naombeni msaada jamani wataalam mimi nina blog na nimesha apply AdSense nataka niapply na kwingine naombeni mniambie web nyingine ipi ambayo naweza ku apply nikalipwa vzur? Msaada wenu jamani ndugu.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii ni mahsusi kwa wale ambao wanajenga nyumba hapa Dsm na hasa wale wanaonunua mbao kwa ajili ya ujenzi maeneo ya Buguruni. Kama tunavyojua mbao hupimwa kwa futi. Kwa wale wauzaji wamekuwa...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
simu yangu inaniletea taarifa zisokwisha kwenye screen inasomeka "data usage warning" nikiifungua inanipeleka kwenye menu zenye option mbili... "data usage sycle" na "set data limit" sieliwi hii...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…