Carina tako la nyani

Carina tako la nyani

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
174
Msaada kwa anayeijua vizuri hiyo gari, nataka niifahamu ulivyo na engine inayotumia na sifa zake pia ma madhaifu yake kabla sijainunua kwa mtu hapa Mbeya
 
google carina tako la nyani utapata wasifu wake,inaonekana hapa watu hawajui kama inaitwa hivyo
 
Mtafute Mtu anaitwa KATAVI humu.
Maana yeye yupo Karibu na Gombe na Mahale,anaweza kukusaidia bei yake.
 
Msaada kwa anayeijua vizuri hiyo gari, nataka niifahamu ulivyo na engine inayotumia na sifa zake pia ma madhaifu yake kabla cjainunua kwa mtu hapa mbeya
Engine 5A NI DURABLE, POWERFUL, INATUMIA VIZURI FUEL >15KM/LITRE, CV JOINTS ZAKE ZINADUMU MUDA MREFU KULIKO COROLLA, DRIVES 5 IN COMFORT, INASTAHIMILI SHURUBA ZA OFFROAD BILA SHIDA, . MAPUNGUFU; KUPEWA JINA BAYA: MATAKO YA NYANI, INAKARIBIA KUPITWA NA WAKATI-MAANA NI GARI ZA ZAMANI 90S TO EARLY 2000s
 
Carina tako la nyani ni toleo LA nyuma ya Carina To kwa hiyo ni model ya zamani kidogo. Inaitwa tako la nyani kutokana na taa zake za nyuma kuwa kama matako ya nyani yanavyoonekana. Baada ya hapo wabongo wakaipa jina Carina tako la nyani.

Engine Cc haina utofauti mkubwa na Carina Ti isipokiwa inaweza tofauti ndogo za kimodel maana zote si VVTi.
 
Jana mitaa ya shauri moyo wakati natafuta spair akaja mtu anaulizia taa za" carina tako la myani" nidhani mzaa bwana"
 
Nashukuruni kwa mawazo yenu murua...! Kumbe naweza inunua sasa kwa ajili ya mishe zangu za hapa mjini kati
 
Nasikia kuna harrier pia tako la nyani!!hahah
 
Naomba mtu mwenye sampuli ya picha ya carina aiweke hapa tuitambue..
 
Msaada kwa anayeijua vizuri hiyo gari, nataka niifahamu ulivyo na engine inayotumia na sifa zake pia ma madhaifu yake kabla sijainunua kwa mtu hapa Mbeya

kama engine na gearbox yake ipo bomba nunua japo ni toleo la zamani. ni manual au automatic? ni very economic katika swala la mafuta na spea kibao, ila tafuta fundi wako ili akaikague kwa makini,pia awape muda wa kutesti kama ni kutoka mikononi mwa mtu kwa kwenda nayo mbao,wewe kubali kugharamia mafuta.
 
kama engine na gearbox yake ipo bomba nunua japo ni toleo la zamani. ni manual au automatic? ni very economic katika swala la mafuta na spea kibao

Na automatic engine na gear box zipo poa kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom