Mwenye ujuzi

Mwenye ujuzi

dudukila

Senior Member
Joined
Jun 20, 2015
Posts
134
Reaction score
37
Msaada wenu kwa yeyote ambae anajua applications za kuflash cmu ambazo zinaweza kufanya kazi kwenye windows 8 bits32 PCs plz naomba anisaidie na maujuzi kidogo
 
Watu wanaflash simu na box, Ni kifaa unakinunua. Kama unataka kuflash na computer kila simu Ina njia zake na Ni ngumu nyingi si mteremko.
 
Ok nahitaji kujua hyo ya laptop kama unajua ya simu yeyote
 
Ok nahitaji kujua hyo ya laptop kama unajua ya simu yeyote

-Samsung unaflash kwa kutumia Odin na firmware unadownload mwenyewe. Pia unaweza kutumia kies

-Lumia unatumia Microsoft recovery tools

-flash tool for xperia kwenye simu za sony

Na kila simu ya android inaweza kujiflash ukiroot simu na kueka recovery kama twrp au cwm
 
simu gani unayotaka kuflash? simu hazina njia moja ya kuflash. mf android mtu anaweza akawa na simu na usb tuu akaflash. kuflash inategemea na tatizo na aina ya tatizo.
 
Duuuuuh hapo ushanichanganyia videsa mkuu ila poa ngoja nijaribu kuzicheck hzo mambo kwa net kwanza
 
Ok kuna mshikaj wangu mmoja ana nokia 2700 classic ina tatizo kila ukiplay media inakwambia memory not enough!!!
 
Ila nilitamani tu nijua na apps nyingne acha hzi njia za kufanya hard reset zote nazijua sasa nataka kwa kutumia pc inakuwaje
 
Back
Top Bottom