Msaada wa kupata 3G kwenye simu, natumia Airtel

Msaada wa kupata 3G kwenye simu, natumia Airtel

Idhae

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
609
Reaction score
277
Nimerenew line ya airtel kama siku tatu hivi zimepita.

Chaajabu line hiyo ukiiset kwenye 3G inaondoka hewani. Lakini ukiweka line nyinginezo 3G inafanya kazi.

Nimewapigia airtel lakini hawanijibu.

Mwenye kuelewa anisaidia jinsi ya kuifanya hiyo line ikubali 3G.
 
airtel ndoroobo kweli,mi pia cm yangu ina tatizo kama lako,lakini kila nikiwapigia cm hawana ushirikiano kama mitandao mingine'sa nimeamua nibaki zangu voda tu
 
3G inategemea na eneo ulilopo kama kuna mnara karibu wa hiyo chip au line yako..
 
ndo tatizo la laini mpya namie tigo wanazingua hvohvo
 
Eneo ndo litakuwa tatizo km setting ziko sawa. Jaribu eneo tofauti na hapo ulipo
 
Eneo ndo litakuwa tatizo km setting ziko sawa. Jaribu eneo tofauti na hapo ulipo

Nadhani eneo sio tatizo kwani ukiweka line nyengine ya airtel inakubali 3g. Hiyo niliyorenew tu ndio haikubali
 
Mara nyingi hutokea hivyo ukirenew line. Wasiliana nao mara kwa mara itakaa vizur hata mi ilinitokea but now is ok. Be calm.
 
pole sana Air tel wana aina mbili za line kuna nyngin ni kupoea kupga na kutma sms haina internet kwaiyo nenda pale wakubadilishie line inayo anya kzi zote
 
Nenda kwenye ofisi zao mkuu wareactivate 3G, ukiswap line huwa 3G activation inatoka. Niliwahi kuswap line nikapata tatizo kama ilo ila nilipoenda ofisini kwao wakaiactivate 3G sasa iko poa
 
Mini juzi nimeenda pale makao mkuu uwezi hamini vile vibinti wakaniamvia tayari nimefika upanga hamna kitu nikarudi voda napiga mzigo bila shida
 
Back
Top Bottom