Kutambua sumsung S3 kama ndio yenyewe OG

Kutambua sumsung S3 kama ndio yenyewe OG

davynemes

Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
29
Reaction score
6
Wana JF natafuta s3 lakini sina utaalamu wakuitambua kama ni OG maana copy zipo nyingi sana, naomba msaada ili nipate nzuri for long life.
Thank you
 
wana JF natafut s3 bt sinautaalam wakuitambua kam ni OG maan copy zipo nying saaanaaa,naomb msaada ili nipate nzur for long life...
Thank u...

install CPU Z kutoka playstore kisha angalia chipset kama ni MTK/MEDIATEK basi ni fake.
 
Yah zipo gota kwan cm ikitok toleo jipya ndo zinapotea???
kwan ujui s3 ndo toleo mama la sumsung izi zingine cjui s4,5,6……… ni aditix tuu ya compitix kweny soko ila zinaongezek uwezo tuu kdg
 
Bonyeza *#7353# ikiktataa kutoa menu jua hiyo ni copy na hizo menu ziwe zinafanya kazi
 
Back
Top Bottom