Msaada kwa wanaojuwa

Msaada kwa wanaojuwa

zimaroho

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2014
Posts
243
Reaction score
87
Naomba kusaidiwa kujuwa SCREENSHOTS ya samsung galaxy S4 inapigaje picha screen, maana mara nyingi sim ikiwa mfukoni naisikia ikipiga picha na nikiitoa nakuta picha ilizopiga, ila nikitaka kupiga mwenyewe siwezi wala sijui pakuazia.
 

Attachments

  • 1437517617699.jpg
    1437517617699.jpg
    59.2 KB · Views: 140
  • 1437517640053.jpg
    1437517640053.jpg
    73.2 KB · Views: 123
Kazi ipo. Hiyo simu haikuja na manual yake? Hata kama haikuja nayo vipi kuangalia Google. Kuna mpaka video za YouTube. Au kila kitu ni JF siku hizi? Servers za JF zina kazi tena pevu!
 
Kazi ipo. Hiyo simu haikuja na manual yake? Hata kama haikuja nayo vipi kuangalia Google. Kuna mpaka video za YouTube. Au kila kitu ni JF siku hizi? Servers za JF zina kazi tena pevu!

Sio kila mtu ana uwezo au utashi wa kwenda huko ndio maana huwa tunadaidiana kwa njia hizi
 
Mkuu hold power button na home button

Hasante Mkuu nimefanikiwa,

hasanteni wote mliojaribu kunisaidia maana nimekuwa na hii sim mwaka na miezi mitano bila kujuwa jinsi yakupiga picha screen.
 

Attachments

  • 1437540152288.jpg
    1437540152288.jpg
    22.7 KB · Views: 70
Back
Top Bottom