Msaada wa kupata torent password

Msaada wa kupata torent password

papag

Platinum Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
1,365
Reaction score
2,067
habari wadau?
nimeshusha movies kadhaa toka kwenye hii website torrentsmovies.net ila kila nikijaribu kuzifungua ziko kwenye zipi file.sasa naambiwa niwekee pasword.nawezaje pata hizo pasword au kulifungua kwa mautundu mengine.
ahsanteni sana
 
kasome descrption ya movie utaoneshwa password
afu usipendelee ku download torrents katika zip/rar file nyingi utakuta zimetiwa pswd na ili kuzipata wanakwambia ufanye survey.
pia,tumia trusted torrent site
 
Back
Top Bottom