Nitawezaje Kufanya updates kwenye Tecno phantom Z

Joined
Sep 27, 2014
Posts
27
Reaction score
2
Nina simu aina ya tecno phantom Z inatatizo lakutokukubali kufanya updates za android yake.yani kila nikifanya updates inakataaa ina nambia network error sasa naombeni msaada kwa anae elewa kuhusiana nahili tatzo.
 
Sijakuelewa vizuri unamaanisha nini? ila kama unamaanisha ku-update firmware yake toka android 4.4.2 kitkat to higher versions 4.4.3 au 4.4.4 haitawezekana.

Chipset ya MediaTek MT6592 iliyomo kwenye phantom z haina uwezo wa kuruhusu official updates kwenye OS so uta stick kwenye hiyo hiyo version iliyokuja nayo hadi uamue ku root na ku updates kwa kutumia custom ROMs.
 
Iknawezekana kabisa, official upates zinategemea na maufacuterer wa simu kama ataprovide OTA kwahiyo kama tecno watatoa updates basi siyo issue.

Mediatek hawajatoa source code za chipset zao lakini haimaanishi huwezi kupata update, tena hizo custom rom bila hizo source code za mediatek hakuna full optimization.
 
Kuna ka mtindo wanafanya mediatek sasa hivi kapo hivi.

Sasa hivi kitkat ipo mtaani na driver zipo na mediatek washaeka driver za kitkat kwenye chip zao ila oem wanaship na 4.3 halafu unapata update ya kitkat.

Ukitaka kujua anachosema secret ni sahihi ngoja itoke android l uone kama generation ya sasa hivi ya mediatek kama itapata
 
kuna ka mtindo wanafanya mediatek sasa hivi kapo hivi.

sasa hivi kitkat ipo mtaani na driver zipo na mediatek washaeka driver za kitkat kwenye chip zao ila oem wanaship na 4.3 halafu unapata update ya kitkat.

ukitaka kujua anachosema secret ni sahihi ngoja itoke android l uone kama generation ya sasa hivi ya mediatek kama itapata

Tuangalie simu za android one kama zitapata android l.
 
Nina simu aina ya tecno phantom Z inatatizo lakutokukubali kufanya updates za android yake.yani kila nikifanya updates inakataaa ina nambia network error sasa naombeni msaada kwa anae elewa kuhusiana nahili tatzo.

Jamani hizi phantom z na r7 bei zake halisi ni Sh ngapi?
 
Nina simu aina ya tecno phantom Z inatatizo lakutokukubali kufanya updates za android yake.yani kila nikifanya updates inakataaa ina nambia network error sasa naombeni msaada kwa anae elewa kuhusiana nahili tatzo.

Sahau update mkuu..kila cku tuna sema humu tecno sio simu
 
msaada wa link nayo weza kudownload roms ya Tecno phantom Z
 
Back
Top Bottom