GGIRRIMATA
Member
- Sep 27, 2014
- 21
- 1
Natumia betri ya incoe ya maji N50 nilichanganya waya ya sola nikaweka waya wa hasi kwenye sehemu ya chanya na chanya kwenye sehemu ya hasi sasa betri haiwashi hata taa nifanye nn?
natumia betri ya incoe ya maji n50 nilichanganya waya nikaweka waya wa hasi kwenye sehemu ya chanya na chanya kwenye sehemu ya hasi sasa betri haiwashi hata taa nifanye nn?
Mkuu fungua vizibo vya hiyo betri kisha mimina hayo maji then weka maji makali halafu ichaji kwenye mashine za kawaida itakuwa bomba......Natumia betri ya incoe ya maji N50 nilichanganya waya nikaweka waya wa hasi kwenye sehemu ya chanya na chanya kwenye sehemu ya hasi sasa betri haiwashi hata taa nifanye nn?