Nimeibiwa Android Phone - Msaada!

Nimeibiwa Android Phone - Msaada!

The Giant

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
504
Reaction score
96
Nimeibiwa Simu yangu maeneo ya Karume mid a ya mchana.
Kuna namna yoyote naweza kuifunga, kuitrack na nikaipata?
Nimeinstall TrustGo, NQ na Android Security na IP address ninazo. Msaada jamani, samahani!!
 
Hizo app ulizo taja si zina web site zao ingia kama ni trust go au NQ then sing in kwa zile data zako ulizo jisijili muongozo utaupata baada ya ku sign in. Lkn kwa hizo app ulizo zitaja kama alie iba ni mjanja zina futika kirahisi akifanya hard reset mkuu.
Pole sana.
 
Nimeibiwa Simu yangu maeneo ya Karume mid a ya mchana.
Kuna namna yoyote naweza kuifunga, kuitrack na nikaipata?
Nimeinstall TrustGo, NQ na Android Security na IP address ninazo. Msaada jamani, samahani!!

simu ikishaibiwa cha kwanza ni kui factory reset...
Je unafikiri hizo apps zako ni system apps?
Naijua tu avast anti-theft(ROOTED) ambayo kwa factory reset hauichomoi...

Kwa sasa naweza kukwambia jaribu kutembelea pages za lost my phone za hizo apps ulizo install kujua kama mwizi amefanya factory reset au la na ujaribu kui track

or less naweza kukwambia isubiri May iingie ambako TCRA wataanza ku blacklist IMEI za simu zilizoibiwa
 
Naomba link ya hiyo avast ant thft mkuuu
 
:A S wink::A S wink😛ole sana lkn sahau kaka nenda kanunue nyingine ,unless it was an iPhone
 
Amdroid ikiibiwa msiba. Hard reset inafuta hivo vi apps vyote, including Android device manager
 
pole sana mkuu ingekuwa IPHONE ningekusaidia ili uipate.
 
If u lose your mobile you can trace it back.

Most of us always fear that our Mobile may be stolen at any time.

Each mobile carries a unique-
IMEI no. i.e. International Mobile Equipment Identity No which can be used to track your mobile anywhere in the world.

This is how it works!!

1. Dial *#06# from your mobile.

2. Your mobile shows a unique 15 digit.

3. Note down this number at a secure place except in your mobile phone itself as this is the Number which will help trace your mobile in Case of a theft.

4. Once stolen you just have to E-mail this 15 digit IMEI No. to cop@vsnl.net with details as below.

Your name:____________________
Address:______________________
Phone model:_________________
Make:_________________________
Last used No.:_________________
E-mail for communication:_____
Missed date:___________________
IMEI No :_______________________

5. You may need to go to the police for information and get RB number

6. Your Mobile will be traced within next 24 hrs via a complex system of GPRS and internet, You will find where your hand set is being operated even if the SIM card has been changed.

PASS ON THIS VERY-
IMPORTANT MESSAGE TO ALL
 
Nenda police kitengo cha cybercrime wanaweza kukusaidia ila si unajua police ya tanzania ilivyo ya kifara
 
Can you place your mobile number for more info? And what's the service charges?
 
Nenda police kitengo cha cybercrime wanaweza kukusaidia ila si unajua police ya tanzania ilivyo ya kifara

Voda wanaweza itrack, ila Polisi wamekula hela yangu lakini hakuna chochote kilichofanyika. Nimeachana nap tu kaka.
 
Nenda mtaa wa congo au manzese kwa mateja sasa hivi
 
Avast ant theft rooted mwisho wa matatizo hizo nyingine ukifanya factory reset inatoka tena uzuri wa avast akiweka tu laini yake inakutumia msg
 
Hizi simu za kununua kwa mtu hizi. utashangaa unabebwa msobe msobe kumbe imeibiwa na imewekwa avast anti thefuti
 
Back
Top Bottom