software inayoconvert pdf kuwa word

software inayoconvert pdf kuwa word

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
657
Reaction score
733
habari wanajamvi,napenda kijizwa je kuna software ya kwenye simu android inayoconvert pdf kuwa word.Mind u exclude office lens.which i find it to be uselex. sababbu iko very slow pia inastore kwenye word wapi sijui wakati cam scannernyingine ziko faster.
Hali kadhalika je kwenye pc pia je kuna kitu cha namna hiyo.
 
kwenye PC zipo nyingi tu..ni vizuri ukipata nitro pro
 
Back
Top Bottom