Hai voxox wanatabia ya kuchange namba Mara kwa Mara hivyo huenda kipindi cha kubadili simu walishampa mtu mwengine namba yako na sehemu nyengine kukawa kunatokea mambo suspicious hivyo itakua hio namba imekuwa blacklisted.
Kwa hiyo sasa ni fungue namba nyingine mkuu