Simu inanitumia Txt km hizi kila dakika

Simu inanitumia Txt km hizi kila dakika

naan ngik-kundie

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
1,750
Reaction score
2,438
Kichwa cha habari chausika, ninatumia tecno p3 inanitumia sms kama hii kila wakati " ZONE 90% AIRTEL - 80% OTHERé" " ZONE 90% AIRTEL - 80% OTHERé""From: CH (50) ZONE 90% AIRTEL - 80% OTHERé"Yan mpaka kero maana napokea sms 10 kila baada ya nusu saamsaada tafadhali kwa mwenye utatuzi na hili jambo.Asante.
 
Back
Top Bottom