Varbo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 1,124
- 895
Wadau wa ujenzi,
Katika pitapita zangu, nimeona kuna milango ya chuma lakini ukiiangalia ni kama wa mbao. Naomba kujua uimara wake ukoje, nimeona milango hii mingi ya China, nami vitu vya China siviamini sana.
Kwa anayeijua milango hii, naomba anipe uzoefu wake.