Ualimu ngazi ya chet

Ualimu ngazi ya chet

Mpambalachuma

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2015
Posts
362
Reaction score
44
Jaman, msaada juu ya kujiunga na ualimu ngazi ya chet, pia vyuo vinavyotoa nafasi hizo ikiwa ni pamoja na taratibu
Zake.

Natangulia shukran, mim nipo Dar
 
Mbona huku sio mahali pake mkuu.
Nenda jukwaa la Elimu kule wapo wadau watakuelekeza.
 
Jaman, msaada juu ya kujiunga na ualimu ngazi ya chet, pia vyuo vinavyotoa nafasi hizo ikiwa ni pamoja na taratibu
Zake.

Natangulia shukran, mim nipo Dar

Hiyo una apply online kwenye web ya nacte.go.tz
Wameongeza siku ya mwisho wa kuapply hadi agosti 2.Fatilia
 
Back
Top Bottom