Msaada kwa wataalam wa iPhones

Damy Scotty

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
717
453
Habari wadau!

Msaada kwa mtaalam wa hiz apple products..natumia iPhone5 ila huku nliko 3G haikamati (kijijini) so, iko slow sana kias kwamba hata tecno inaizid kwa speed sijajua kwann inakua hiv!
Anaejua tafari

Natanguliza shukran zang za dhati 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
 
Slow ya nini? Kama ni kubrowse internet download opera mini toka store huyo ndio rafiki wa 2g
 
Nashukuru mkuu..ila hyo kwa fb na kubrowse vi2 mtandaoni sawa ila kwenye whatsApp na insta bado itakua unsoLved!

Whatsapp kuchat 2g haina neno ila video na sauti itakuwa slow, na hata uwe na tecno au nokia au simu yoyote same result itakuwa.

Kuhusu instagram itakuwa slow tu no way ila siku hizi wana instagram ya website sijaitest maybe inakubali kwa opera.
 
Nashukuru mkuu! ntaichek hyo ya insta ya website
 
Mkuu kama hapo ulipo inapatikana Edge pekee basi hauna jinsi kwa whatsap na apps zinazojitegemea

Chakufanya download operamini au uc browser+ hapo kidogo unaweza kupata unafuu wa kubrowse facebook na Instagram nk kwa web
 
Tatizo ni product za apple. Yaani hata laptop zao ukiweka modem kwny 2g safari, chrome na Firefox zote hazipigi mzigo ipasavyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom