Mwenye kujua namna ya kuhack hili game

Mwenye kujua namna ya kuhack hili game

MT255

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2012
Posts
3,728
Reaction score
5,000
Wanajamvi nimehangaika sana kulichezea hili game AIR COMBAT ONLINE nimeshindwa mwenye maujuzi namna ya ku-hack hili game kuweza kupata gold na diamond...msaada tafadhali nawasilisha
 

Attachments

  • 1438456061892.jpg
    1438456061892.jpg
    61 KB · Views: 170
Kama ni online games mengi huwezi kucheat sababu data zinakuwa kwenye server na sio simu
 
Ingia onhax.net wanawekaga hacked games n softwares jaribu kutafuta kule thoigh cna uhakika 100% kama na hilo lipo
 
Back
Top Bottom