Msaada Windows 10 installation error

Msaada Windows 10 installation error

Void ab initio

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
5,739
Reaction score
5,703
Ninadowload window 10,imefika 25% inakataa kuendelea inaandika; Windows 10 couldn't be installed, Error found: Code 8024402C.
Msaada wakuu nimekwama.
 
Ndio mkuu.
Ndugu, hiyo error mara nyingi inasababishwa na vitu vinne vifuatavyo.
  1. Windows Service Host (SVCHOST.exe) imeshindwa kuingia Internet kutokana na kuzuiliwa na software inayokuwa inafanya kazi kwenye computer yako. hasa Firewall, antivirus au hata pia VPN programs.
  2. Registry settings zisizo sahihi.
  3. Installation ya driver ambayo haikukamilika.
  4. DLL drivers zisizo sahihi.
 
Asante mkuu.
 
Kama umefikia 25% hii ni sawa na Window 2.5 Hivyo kazana ifikie 30 kukamilisha window 'three' kisha tafuta window seven uinstall pia kukamilisha window 'ten'
 
Back
Top Bottom