suley hazard
Member
- May 19, 2014
- 62
- 117
kama kichwa cha habari kinavyojieleza,nimeletewa sony expria Z1 na mdau wangu kutoka canada, tatizo ni kwamba nashindwa kuitumia kwa mawasiliano mpaka nitapo-unlock network.
Nimekwama, naombeni msaada wenu katika kulitatua jambo hili. natanguliza shukrani zangu kwenu in advance.
Nimekwama, naombeni msaada wenu katika kulitatua jambo hili. natanguliza shukrani zangu kwenu in advance.