Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Hi guys, return back your lost files any formatted hard drive,FLASH DISK: kwa watu wanaohtaji kurudisha files ambazo zimepotea either kwa kuformat Hard Disk ,FLASH... mnaweza kuniemail kwa...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wakuu, BVR ni kifupisho cha Biometric Voting Registration system. wanatumia finger print kama key identifier kwenye profile ya kila raia. Swali langu ni kwamba tuta VOTE kwa kutumia finger...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
heshima kwenu wanajamvi. mi ni member wa insta ila si mdau sana,nilianza kutumia insta mwaka jana ili nione ikoje,sasa kuna mambo naomba mnifafanulie kuhusu instagram: 1.ukiachilia mbali swala la...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Habari wakuu kwa anayeweza kunipatia link niweze kupakua WhatsApp new version maana ninayotumia kwa sasa ipo outdated. Thanks.. k
0 Reactions
4 Replies
2K Views
nina simu aina ya tecno y4 kila nikiweka usb kwenye pc kutaka kuamisha data haikonect kuniwezesha simu yangu kuonekana kwwnye pc zaidi ya kuingiza chaji tu
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Advertising on blogs; why advertisers don’t get their money’s worth on worthless blog Ads: I have been going around blogs in Tanzania, especially these niche blogs that are all about reporting...
8 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari wana jamvi, hivi ni kitu gani special kwenye simu hii hasa ukilinganisha na simu nyingine za android
0 Reactions
2 Replies
973 Views
Salam zenu Ebhana nime download na ku install (media player codec for mkv) nikiwa na niya ya kuweza ku play videos zenye extension ya mkv lakin xaxa naona mambo yamezd ku vurugika. yaan ata zile...
0 Reactions
4 Replies
758 Views
Please check out my app on play store, your rating and reviews will be highly appreciated.Thanks https://play.google.com/store/apps/details?id=com.kileha.tourismtanzania
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Nimepata sms kutoka namba inaanzia +677 nipeni msaada jamani hii ni code ya nchi gani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
According to a newly-published patent, Samsung may have designs on a phone that can bend completely in half like a wallet. Comprising a malleable display with a frame reminiscent of a flip phone...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau ninahitaj vifaa vya wireless intercom any brandy its ok naomba msaada jinsi ya kuvipata kwa hapa tz its urgent yan 0787999851
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu , nina IDM ambayo ni latest but nmejaribu kutafuta Key zake nikawa nmekosa So naweza kupata msaada wa link ambayo inakuwa na Key ya Internet Download Manager? Pls! Do it for me...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
ni yupi! Alizingatia ubora kwa watumiaji wake!!
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Niaje wadau, Ni sehemu gani kwa Dar nitapata agent mnzuri wa laptop za Apple(Macbook). Nataka ninunue,
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Tafadhali naomba msaada, account yangu imebadilishwa password na mtu nisiyemfahamu, probably a hacker, nashindwa kulog in tena, kwa bahati mbaya E-mail niliyokuwa nikitumia mwanzo imeshafungwa na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wadau simu tajwa hapo juu imegoma tangu jana nikipiga inaandika disconnection tu,
0 Reactions
4 Replies
928 Views
Katika harakati za kupata usafiri leo katika gari zetu hizi Za kukimbilia nimejikuta EXTERNAL HDD yangu ya kazi wamenichomolea, ina vitu vyangu vya muhimu sana popote pale utakapoona mtu anauza...
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Wakuu hdd yangu nilii lock na password miaka 3 sasa, after some times nikabadili pc baada ya kubadili najaribu kuweka ile hdd inagoma inasema zile password ni invalid. But hii ilitokea mara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanandugu , Natumaini nitaweza kusaidiwa kwa hili hitaji / wazo langu . Hivi inawezekana kwa hizi simu zetu kuzitumia kuangalizia muvi au hata kusikiliza audios ambazo ziko kwenye flash...
0 Reactions
3 Replies
981 Views
Back
Top Bottom