Tatizo: Unable to load photo kwenye galaxy SII

Bill of Quantity

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
1,233
404
Wadau, habarini za asubuhi?

Simu tajwa hapo juu inanipa shida lwenye kufungua picha.

Album ina picha zaidi ya.mia lakini zinafunguka 12 tu nyingine zinakataa.

Naombeni msaada wenu.
 
Mkuu hizo picha zipi kwenye phone memory au memory card...?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom