Natafuta electrician anayeweza kutengeneza sacket

Natafuta electrician anayeweza kutengeneza sacket

BwanaX

Senior Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
123
Reaction score
46
Habari Wadau,

Nina tafuta fundi anayeweza kutengeza sacket itakayo fanya kazi za PABX yenye port4, yaani niweze kuconnect simu za ndani kwangu, kupiga toka chumba kimoja kwenda kingine

Anipigie 0772819712
 
Back
Top Bottom