Habari wadau,
Jumamosi EPL inaanza kutimua vumbi, DSTV hawashikiki tena kwa bei hizo mpya, kama kuna mtu amepata maujanja ya jinsi tunavyoweza angalia mechi tafadhali tujulishane,
Thanks
kuna ndugu yangu nimemuazima laptop yangu, masaa kadhaa yaliyopita....
bt nilipoiwasha mm imeleta shidah hii...
nikiwasha anaandika
''prepare to configure windows..
do not turn off your...
Wanajamvi salam,ninayo LG FLAT SCREEN HDTV 24' inch ambayo ina sehem ya USB port ambapo nimejaribisha kuweka aina tofauti za flash lakini haiwez kusoma je,tatizo nini msaada tafafhali
Salama wanajukwaa,
Naomba mwenye uhafamu na hili, nimeinstall Application ya Kodi kwenye computer na inafanya kazi vizuri, naweza kuangalia TV channels kadhaa ikiwepo aljazeera na BBC, je kuna...
Naomba ushauri kwa wataalamu wa TV. Nina Sony Flat Screen ya miaka 4 hv. Imepata tatizo, ikiwashwa inafanya kazi kwa dak kama 10 halafu inajizima na ku-restart, lakini haiendelei kufikua kupata...
Ndugu zangu habari za leo?
Naomba kujua ukweli kuhusu samaki:
1.Asili ya samaki hutoka wapii? kuna mtu yupo Bukoba anadai mvua zikinyesha ktk sehem kavu na baadae maji kutuama eti samaki huanza...
nataka kusoma windows server 2012. naomba kitabu kizur cha kusoma pamoja na practical zake.
Pia nauliza kuna simulation yeyote ya kutumia kama sehemu ya practical? kama ipo naomba nijue namna ya...
Wanabodi,
Naomba kujua ni simu gani iliyo bora kati ya Samsung Galaxy Note na HuaweiP7? Naomba msaada wenu kwa anayeelewa maana najua kuwa JF kuna watu wenye uelewa wa kila aina..
Natamani sana kuangalia movie za Philipino zilizokuwa zime/narushwa na Star TV nikiwa mapumziko. Sasa naomba free site na namna ya kuzi download ili nizopate.
Nawaombeni sana mnisaidie namna ya...
Habarini wana jamvi?..Naombeni msaada juu ya kupata application ya jamiiforum kwenye simu yangu ya blackberry z10 maana nakosa raha yapata miezi miwili sasa kila nashindwa kupata hii application...
Habari zenu wakuu, Ningependa kujua kuwa Spriter (kifaa kinachotumika kusambaza mawimbi ya satelite dish katika receiver zaidi ya moja) na DsqE switch (kifb kinacho unganisha lnb zaidi ya moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.