Msaada please Blackberry Z10 nipate app ya JF

Msaada please Blackberry Z10 nipate app ya JF

juniour12

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
407
Reaction score
378
Habarini wana jamvi?..Naombeni msaada juu ya kupata application ya jamiiforum kwenye simu yangu ya blackberry z10 maana nakosa raha yapata miezi miwili sasa kila nashindwa kupata hii application. Wenye links za moja kwa moja naomba mnisaidie au wenye simu kama yangu ya blackberry Z10 Naomba uzoefu wenu kama mnaipata JF kwenye hii simu......Naombeni msaada wa haraka jamani as you know JF ni shule na darasa huru so sijaja darasani miezi miwili nahisi kuumwa aisee....cc@invisible. SHUKRANI.
 
Mkuu baada ya kudownload hiyo app nafanyaje?

Ingia kwenye blackberry world chagua apps kisha chagua sehemu ya kusearch na uandike jamiiforum itakuletea hiyo application, idownload
 
jamiiforums kwny bb world wala haipo... cha kufanya apo kwanza iruhusu cmu yako ipokee app kutoka nje ya bb world.. ukmalza nambie
 
Thanks so much mkuu...Sasa na enjow JF kama zamani...Ubarikiwe sana na wote walio changia post yangu kwa nia ya kunisaidia niweze kuipata Jf kwa simu yangu..
Download 1mobile market na uhaba wako wa apps wote utaisha utaweza install jamiiforums na mamilion ya app za androids.

Download hapa
1Mobile Market - Best Google Android Apps Market

Ila tu kuwa makini usieke app za android usizohitaji
 
Nashukuru wakuu nimefanikiwa kupitia link aliyo weka Mwana jamvi mwenzetu (Chief-Mkwawa) ya 1mobile market.
 
Wamiliki wa Jamii forum
Wangewezesha jf app ipatikane kwa blackberry 10 OS..nakumbuka kuna baadhi ya blackberry za os ya chini ya 10 baadhi wanaweza kudownload hiyo app.
 
Back
Top Bottom