Naomba ushauri kwa wataalamu wa TV. Nina Sony Flat Screen ya miaka 4 hv. Imepata tatizo, ikiwashwa inafanya kazi kwa dak kama 10 halafu inajizima na ku-restart, lakini haiendelei kufikua kupata signal. Yaani inajirudia rudia ku-restart bila kupata signal ya pucha. Ukizima power source kwa muda kama dak 10 na kuiwasha tena inafanya kazi vizuri jes dak kadhaa na kujizima tena. Na kurudia kuji-restart. Naomba ushauri kwa wataalamu.