Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
Habari wakuu, Nahitaji kununua receiver zenye nguvu ya mpeg 4 je zinapatikana kwa bei gani?
mimi huwa naikubali str4922 bei yake ni zaidi ya 200k inategemea na mahali ulipo
Kaka vipi ina support blind scan?