computer engineering vs electric engineering

computer engineering vs electric engineering

Albert Tr

New Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Wadau nahitaji muongozo wenu ..ivi Kati ya computer engineering na electric engineering ipi ni course nzur kwa Tanzania
 
uzuri kwenye nyanja gani..?
kipato..?
career growth...? hapa fursa za ajira kujenga uwezo na mambo mengine..

mie ni electricl engineer kifupi kibongobongo electrical engineering ina uwanja mpana sana... tofauti na computer engr ambayo zao la electrical engr..
ukweli kibongokibongo unashindwa kumtofautisha computer scientist, IT specialist , software engineer na computer engineer wanafanya kazi nyingi zinafanana nawaajiriwa sehemu moja maeneo mengi sana..

"Computer engineering is a discipline that integrates several fields of electrical engineering and computer science required to develop computer hardware and software"
hawa jamaa ndio wanatengeneza hizo chips(Microprocessor etc) na electronics equipments ,embedded systems, etc
mfano kwa mtaala wa mlimani kipindi nasoma computer engineer anasoma programming ,basic and advanced ( analogy and digital electronics) pia anasoma Control Systems engineering pia kama anaweza anaopt DSP digital signal processing ambayo ndio state of arts ya digital eletronics na signal procesing..

"Electrical engineers design, develop, test, and supervise the manufacturing of electrical equipment, such as electric motors, radar and navigation systems, communications systems, and power generation equipment."

kibongobongo electrical engineers wanafanya kazi nyingi za power systems na operation hasa viwandani ...pia installation na supervision ya eletrical projects.. kazi za UMEME bongo ni nyingi kwa sababu SEKTA YA NISHATI YA UMEME inakuwa sana

SEKTA YA TEKNOLOJIA YA SAYANSI YA COMPUTERS INA CHANGAMOTO YA UWEKEZAJI KWENYE SHULE NA TAFITI(R&D CENTERS) na maanani..na uwekezaji wa mitaala ya sayansi ya computer na kuheshimu na kukuza talents za wazawa
 
Asante Sana kwa explanation zako ..na Kati hizo mbili ipi naweza kujiajiri ki urahisi
 
Back
Top Bottom