Windows server 2012

Vidoca

Member
Jun 27, 2015
10
1
nataka kusoma windows server 2012. naomba kitabu kizur cha kusoma pamoja na practical zake.
Pia nauliza kuna simulation yeyote ya kutumia kama sehemu ya practical? kama ipo naomba nijue namna ya kupata. Nasoma network engineering
 
ImageUploadedByJamiiForums1436425763.323506.jpg jaribu kitabu hicho kiko vzr sana
 
Natamani sana kuangalia movie za philipino zilizokuwa zime/narushwa na star tv nikiwa mapumziko. Sasa naomba free site na namna ya kuzi download ili nizopate. Nawaombeni sana mnisaidie namna ya kuzipata on line. Plzzzzzzzz and plzzzz!!
 
I met one site close related labda naomba kama una any site nitupie hapo nayo nicheck
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom