pitbull
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 596
- 186
nimeupdate whatsApp Kwenye nokia 206 baada ya hapo application zote hazifunguki ikiwepo calckuleta etc naombeni msaada wadau cc CHIEF MKWAWA
Last edited by a moderator:
Zima simu then washa kama still inazingua reinstall software yake na pc. Download nokia suite halafu eka software upya
nimeharibu kuzima nakuwasha ila bado hali ni ile ile ila mtu hapa kaniambia ni i restore nikijaribu kuireset inaniambia niweke security codes na mimi sizijui msaada tafadhali
unaniambia code error