Vibanda-umiza
Mechi 1 kwa buku ? fafanua mkuu
me nimelipia yangu leo...ulevi wangu ndo huo sa ntafanyaje...mbaya zaidi compact plus hawataonyesha mechi zote so imebidi nilipie 199000..roho inauma but sina jinsi...
Bar unaweza angalia for free
Naomba tusaidiane pia bei ya xtra-view