Wanajamvi salam,ninayo LG FLAT SCREEN HDTV 24' inch ambayo ina sehem ya USB port ambapo nimejaribisha kuweka aina tofauti za flash lakini haiwez kusoma je,tatizo nini msaada tafafhali
Yangu nikiweka flash natakiwa kuselect haraka inapo soma nikiiacha kwa dk 2 inapoteza taarifa yaan inaonyesha hakuna flash, jarbu kuingalia kwa makin baada ya kuweka flash pia weka flash baada ya screen kuwashwa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.