jana nikiwa nachat na one of my friend whatsapp.. akanitumiaa picha ya kiongozi fulani hivi akiwa amelembwaa amepakwa wanja. yaaani daaaah ... niliogopa sana nikamwanbiaa ndugu si unajuaa sheria ya mtandao inaanzaa soon.. haya mambo haya tutakujaa kutafutana mjini... tutatajanaa mbona..
akanijibu " hiyoo sheriaa ya mtandao haiwezi kuingia hadi pvt whatsapp"" akasema hiyoo sheria watatafuatiliwa sana wenye blogs na websites ...
mnaofahamu kuhusu hii kitu hebu tuambiane..
hii sheria itakuwa ikoje... how its work...?
Acha uoga ndugu wanadili na website na blogs na tech yetu Tz bado sana yani waanze kuchunguza unamtumia nani sms unachat na nani unadownload nini...kuwa huru ndugu ukitumiwa na wewe sambaza kila kona
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.