Salam.
Wataalam Naomba Msaada Taja Hapo Juu Baada Ya Kuangalia Baadhi Ya Simu Zinazotumia Line Mbili (Dous) Zinazopatikana Kwenye Soko La Marekani
Baadhi Zimeandikwa Kuwa Zinatumia GSM Tu...
Habari za majukumu wadau, nitumia Toshiba Satellite Pro nikiwa nimeweka windows 8. Ghafla jana baada ya kuwasha PC nikakutana na tatizo la MOUSE KEY kutokuwepo lakini nikijaribu kutumia...
wataalam wenzangu jana nimebahatika kuipata ses 4 @ 22w kwa offset dish,na nkaona nilete kwenu wenzangu ili hata kwa muonekano tu tufahamu inavyokua,freq 11671 v 30000,
Habari zenu wana JF. Naomba mwenye activation code za Corel draw X6 (v16.1.0.183) anisaidie au km kuna m2 anafahamu wp naweza nkazpata naomba anielekeze..!
Mambo vp wana jf??
Naomben tujuzane sababu ya Camera kushindwa ku function na kuja maneno haya "Camera has stopped unexpectedly.need to restar. binafsi lishawah kunitokea hilo tatizo...
Kila nnacho click inauliza do u want to uninstall this and send to the Recycle bin?
Naomba msaada kwa mwenye ufaham zaidi.
Nimeformat zaidi ya mara mbili imekataaa kabisa na nimeweka internet...
Wapendwa wa jukwaa hili,kwa yeyote aliyewahitumia simu tajwa hapo juu. Je mna maoni gani juu ya simu hizo kwa kuzingatia ubora wake na matumizi. Alafu mkuu Chief-Mkwawa hivi simu ya android...
today i checked smart 4g prices and found out they changed their prices.
before 50 gb was around 60000/= and now its almost 300000/= thats more than 250% rise.
chakushangaza speed yao ina zidiwa...
zuku hawana free chanel ,,hii ndo sababu yangu.mimi kuvunja ndoa na zuku..nina.diah langj jipya lina mwez mmoja kama unataka ni pm nikuuzie elfu 50 tu nimetumia mwezi mmoja tu.
Wakuu nilitamani kuuweka huu uzi kwenye jukwaa la matangazo ila nikaona nililete humu maana nitapata ushauri wa kiutaalamu pia..natafuta laptop ya kununua..specs ram kuanzia 6gb,core kuanzia i5 na...
Habari wanajamvi na tumaini mko poa jamani naomba msaada kurudisha whatsapp yangu maana nikifungua ina niandikia hivi This version of whatsApp became obsolete on may 27,2015 tap "Dowload" to get...
Wakuu naombeni msaada kuipata hii game nimejaribu aptoide bado inanidai license ya google ili ipakue data zake. Nimejaribu torrent nako sipati kitu
Nitashukuru ukinisaidia kupata apk + data za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.