jE HIYO MODEM NI:-Habar wadau wa IT! Hivi unaweza kuchakachua modem ya zantel iwe multipurpose una unatumia software gani?
jE HIYO MODEM NI:-
- GSM modem au
- Ni CDMA modem?
Je ni model ipi modem yako?
jE HIYO MODEM NI:-
- GSM moedem au
- Ni CDMA modem?
Je ni model ipi modem yako?
Download Unlocker & flash Code Calculaor, kwa ku_Copy hii link na ku_Paste kwenye browserHuawei e3131 zile za Zantel 21 mbps weka maujanja hapa
http://pc.cd/IMQctalK
http://www.filehorse.com/search?q=WINRAR
Tayari nishaidowngrade firmware nashukuru umenisaidia sana KamandaDownload Unlocker & flash Code Calculaor, kwa ku_Copy hii link na ku_Paste kwenye browser
JINSI YA KUFANYACode:https://www.dropbox.com/s/8qudpzzxl74zpl7/Huawei%20E303%20%26%20E3131.rar?dl=0
1. Extract file ulilodownload kwa kutumia Winrar - kama hauna ichukue hapa:Code:http://www.filehorse.com/search?q=WINRAR
2. Install software ya modem, baada ya installation itafunguka dashboard ya e3131.
3. Ifunge software ya modem
4. Fungua Flash Code calculator, weka imei Number (kama haijatokea) kisha click calculate - Note Flash Code zitatumika hatua inayofuata
5. Fungua Unlocker, ikiomba Password weka hizo flash code ulizopata hatua no.4
KARIBU
bit.ly/MWRCT
Modem ni CDMA
Download Unlocker & flash Code Calculaor, kwa ku_Copy hii link na ku_Paste kwenye browser