Msaada juu ya ununuzi wa laptops

Msaada juu ya ununuzi wa laptops

BJB FC

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2015
Posts
2,205
Reaction score
2,567
habar.ninahitaji kununua laptop mpya kwa ajili ya gaming pia kwa ajili ya chuo.bajet yang n 650,000 mpaka 800,000.unanishaur nichukue mzgo upi wa kisasa?
 
ndugu,aina gan ukizngatia m c mjuz sana wa kompyuta

Kwa budget hio tafuta laptop yenye processor hizi
-i3 4000m
-i3 4100m
-i5 4200m
-i5 4300m

Utaweza atleast kucheza games na kufanya mambo ya shule, ila battery life itakuwa average
 
Yenye processor corei3 ama i5
Ram iwe 4GB
GPU iwe intel 4000 na kuendelea,ukipata ya NVIDIA GeForce ni nzuri zaidi
Display iwe at least inch 15 LED LCD utainjoy hata kwa kuangalua movies.
Brand nzuri ni hp,zina betri nzuri mno!
NB: Hizi specs ni from live experience znaweza kuwa muongozo mzuri usipuuze
 
Kwa budget hio tafuta laptop yenye processor hizi
-i3 4000m
-i3 4100m
-i5 4200m
-i5 4300m

Utaweza atleast kucheza games na kufanya mambo ya shule, ila battery life itakuwa average

OUT OF TOPIC! MPAKA LEO SIJAFANIKIWA KU-UNBRICK NOKIA LUMIA 620 YANGU. Msaada Chief-Mkwawa kama kuna uwezekano wa kuifufua
 
Last edited by a moderator:
Bosi mkwawa nami natoka nje ya mada...sumsung trend...aise imekataa ku-load play store,nimefanya njia kadhaa ikiwemo ku clear cache kwenye google play...sasa nataka kuiroot..nianzie wapi na nitumie softwre gani..ama nifanyeje mkuu..
 
Inaload haiwezi kudownload au haifunguki kabisa?
 
Jaribu kui update manual iende latest version, una version ngap wewe? Icheki huko huko ulipoenda kufuta cache

mkuu nishai update lkn bado ilinigomea kufunguka..version iliyopo ni 3.7.15.tell me mkuu
 
ninaupdate kupia wapi....maana nilijaribu kupitia mobomarket ika download lkn bado haikufunguka
 
Umejaribu nini na nini?

Windows Phone Recovery Tool na Lumia Software Recover Tool zote nimechemka, nikajaribu kutumia Thor2 kwa Command Prompt pia chenga, nikapeleka kwa wanaoflash nao wakachemka. Nikagoogle nikakuta tatizo lipo Solved kwa wenye Nokia Lumia 520, je,kuna njia yoyote itakayoniwezesha kurudishia Win 8.1 nliyokuwa natumia zamani? Maana sa hivi nikiconnect kwenye laptop inasoma QHSUSB_DLOAD na nikitumia Windows Phone Recovery Tool inadetect ila nikidownload emergency file inafeli na internet ni ya kuaminika.
 
Hebu cheki hii post

Tutorial - Flash an Lumia device | Windows Phone 8 Development and Hacking | XDA Forums

Kama inafeli kudownload hapo juu ungefanya mpango wa kudownload rom manual.

Pia hawa jamaa wanaoflash mtaani unatakiwa utafute mwenye box, ndio wataweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom