Na 320k
Na 320k
Habari za majukumu wakuu...
Tafadharini naomba kuuliza nimekuwa nikiona kwenye page za watu maalufu mfano kwenye tweeter, followers 11.1k n.k hiyo k inamaanisha nini?
Million 11 na laki 1(milioni kumi na moja na laki moja)

K inamaanisha elfu moja so 11.1k ni sawa na 11,100