Mkuu ni vizuri zaidi ungetaja model ya modem yako, kwa kuwa njia za ku-unlock modems zinatofautiana kulingana na models, kuna threads nyingi tu ambazo members mbalimbali wameweka tutorilas nzuri za ku-unlock modem za Huawei. Hivyo ya kwako inaweza kuwa ilishajadiliwa.P'se,
Nawezaje kutumia modem hiyo kwanye mtandao mwingine?
Ni Huawei.