Modem ya Zantel iko slow kwenye laptop.

Modem ya Zantel iko slow kwenye laptop.

mkerewe halisi

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2015
Posts
299
Reaction score
152
Habari jf. Naomba msaada. Nimenunua modem ya zantel nikiconnect kwenye laptop yangu unakuwa slow sana. Naomba ushauri nifanye nini ili iwe faster I nasoma edge badala ya 3g.
 
Kama inazingua tumia Wi-Fi ya smartphone.
 
Mkuu niko Mbagala chamazi

attachment.php

Mimi napata 9-12mbps kwa modemu ya 21.1Mbps hakikisha network imejaa bar zote (tumia usb extension cable) na unaiset modem isome WCDMA only.
 
Mitandao ni wajanja sana ! Ukinunua modem ya zantel au nyinginewe inakua speed ya 'kasi' kubwa badae spid inaendelea kupungua kwa kadri siku zinavyoenda . Na mitandao karibu yote utaratibu ni huo.
 
Mitandao ni wajanja sana ! Ukinunua modem ya zantel au nyinginewe inakua speed ya 'kasi' kubwa badae spid inaendelea kupungua kwa kadri siku zinavyoenda . Na mitandao karibu yote utaratibu ni huo.

Tatizo hapo siyo modem bali Service provider anakubania speed,labda ununue bundle lililoshiba ndo utafaidi
 
Back
Top Bottom