Jumia online

Jumia online

Captain22

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2011
Posts
630
Reaction score
285
Nimejaribu kununua simu onlin kupitia mtandao wa Jumia pila hata kuijua vizuri hiyo simu. Simu yenyewe ni Startimes Planet 5. Mwenye ufahamu wa hii simu anijuze maana jamaa wapo serious na kesho kutwa inaletwa ofisini.
 
sasa si ungeuliza kabla ya kuagiza mkuu ukiambiwa ubaya wake utaahirisha?
 
Na kwa upande wa mikoani wana supply vipi hawa jumia au ni kwa dar pekee tu biashara yao.
 
Na kwa upande wa mikoani wana supply vipi hawa jumia au ni kwa dar pekee tu biashara yao.

wanaleta mzigo popote tanzania kwa gharama ya sh. 10,000/- wanatumia courier fulani hivi ambao wapo serious sana. yaani ukiagiza mzigo wanafata hatua hizi...
1. unapoagiza tu , ndani ya masaa machache customer care wanakupigia simu kuhakikisha oda yako.
2. wankupa siku 3 hadi 9 maximum.
3. mzigo ukishatumwa (shipping) pia kweye order status inaonekana umetumwa.
4. mzigo ukishafika mkoani kwako , wale courier wanakupigia simu kabla hajaileta ulipo. ili ujiandae kwa fedha za malipo.
5. anakuletea hadi ndani kwako unakagua na kumlipa anakukabidhi na unasaini delivery.
 
Kweli hawa jamaa Wapi serious. Nimepokea mzigo ndani ya siku 3. Na malipo ni on delivery
 
tatizo wanapiga cha juu sana vitu pvyao mfano simu bei juu sana

Jumia ni kama ebay, hawana stock mtu kama mimi na wewe tunauziana kupitia yeye kama dalali anavyofanya.

Hivyo bei si wao wanopanga bali ni muuzaji.

Tanzania tunataka site kama amazon ambayo inaeka stock yenyewe, ili waweze ku comand price na kuwe na stock ya kutosha
 
Vipi mkuu nao kuhusu kaymu hawa jamaa nao?
 
I believe kaymu are better than jumia,nmenunua vitu kawao sana and carrier fee ni buku 3 tu.
Inanchukuaga 1 to 3 days npate mzgo
 
Mim naendelae na amazon Hawa wabongo ujanja ujanja mwingi
 
Back
Top Bottom