Nawasalimu wadau wa technology! Post hii inaweza kuwa katika biashara na pia katika syansi. Hivyo nimeiweka hapa ili niweze kupata chaguo sahihi baada ya ushauri wa kisomi.
Kuna ndugu zangu...
Naomba msaada jinsi ya ku download video kutoka utube, natumia android phone. Inawezekana suala hili lishawahi kuulizwa na kutolewa ufafanuzi,naomba wakuu msichoke kwa hili tafadhali kwani...
Wakuu msaada wenu nauomba....ninatumia Huawei y330 na tab ya galaxy na kumekuwa na shida hii ya apps ambazo sijazidownload kuji install .....bila mwenyewe kujua na hats nikizi uninstall...
Habari ya mihangaiko Wakuu..? Naomba mwenye utaalamu wa kuondoa matangazo na apps kuji-download zenyewe kwenye simu Huawei p6...maana matangazo yanakuja mfululizo na apps kama OmnSwipe, Battery...
Naomba kujua tanzania tunatumia code gani au ya wapi tukitaka kuingiza noyako ya simu kwenye account ya twitter maana +255 ya Tz siioni/haipo? naomba kujua tafadhari
Wakuu salam kwenu.
Naomba kuuliza hivi kuna madhara gani ya kuacha simu au laptop kwenye umeme kwa mda mrefu hata kama imeishajaa charge?
cc wadau wote bila kumsahau mkuu Transistor
Wakuu salamu kwenu. Naomba mwenye kufahamu mahali ambako naweza kupata spair hio hapo juu. Back key haifanyi kazi hivyo nimeshauliwa ninunue touch nyingine. Nimehangaika Iringa bila mafanikio...
habari wakuu! naomba kuuliza juu ya ufanisi wa hizi separate meters za umeme kwa kila chumba. kuna mpangaji mwenzetu anawasha fridge kila siku lakini units zinasoma chache sana. naomba mwongozo...
Kuna tatizo nali experience kwenye huu mtandao wadau,line yangu ya Airtel haipandishi mnara wowote ikiwa kwenye band ya WCDMA preffered ila tu kwa band ya GSM only, na kama ikipandisha basi...
Computer Yangu Ni Toshiba USB Port Zake Hazifanyi Kazi Yani Zina detect inapokuwa PC Inawaka Then Inakata vyote yan keyboard Na Ports Zote Msaada Tafadhali
Wakuu ninapoiwasha inaniletea message "machine not in committed state" speaker haifanyi kaz hadi niweke headphone pia port zote hazisomi flash au external drive yeyote hata mederm haisomi ...
Nipo hapa chuoni (residence) kuna internet ya bure kabisaa mpaka chumbani (cable na wireless)... awali tulikua tunaweza kupakua mizigo torrent bila shaka yoyote ile, ila kuanzia week iliyopita...
Nimeona watu wengi wanapata shida ya matangazo kweny browser zao za android..solution ilikua ni kuroot simu yako na kuweka adaway..
kwa wale wasiokua na root acces kweny simu zao wnaweza pakua...