talentbrain
JF-Expert Member
- Oct 5, 2009
- 1,187
- 760
Nawasalimu wadau wa technology! Post hii inaweza kuwa katika biashara na pia katika syansi. Hivyo nimeiweka hapa ili niweze kupata chaguo sahihi baada ya ushauri wa kisomi.
Kuna ndugu zangu wamekuwa wanahangaika kuchimba madini kienyeji ambapo wamekuwa wakichimba pale wanapoona dalili na hatimaye mara nyingi kuambulia patupu. Nimebahatika kuyaona mazingira yao ya kazi ndipo nikajiwa na wazo la kutafuta mashine za kuwasaidia kujua madini yalipo na aina ya madini yenyewe na umbali yalipo.
Nisaidieni kama mashine hizo zinaweza kupatikana nchini pia.
Natanguliza shukurani.