Bandido-2
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 266
- 571
Nipo hapa chuoni (residence) kuna internet ya bure kabisaa mpaka chumbani (cable na wireless)... awali tulikua tunaweza kupakua mizigo torrent bila shaka yoyote ile, ila kuanzia week iliyopita wamebana torrent haisogei hata kb 1..
ninakuja mbele yenu jamani naomba msaada ili niendelee kushusha mizigo... kama kuna namna ya kubypass niweze kutumia torrent naomba nisaidiwe jaman..
NB. natumia MacBook
shukran
ninakuja mbele yenu jamani naomba msaada ili niendelee kushusha mizigo... kama kuna namna ya kubypass niweze kutumia torrent naomba nisaidiwe jaman..
NB. natumia MacBook
shukran