Madhara ya kuacha simu kwenye charge kwa mda mrefu.

Madhara ya kuacha simu kwenye charge kwa mda mrefu.

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
8,116
Reaction score
5,370
Wakuu salam kwenu.
Naomba kuuliza hivi kuna madhara gani ya kuacha simu au laptop kwenye umeme kwa mda mrefu hata kama imeishajaa charge?

cc wadau wote bila kumsahau mkuu Transistor
 
Last edited by a moderator:
By experience haina madhara sababu nina laptop ambayo haijazimwa toka 2011 (unless umeme ukatike au nipo safarini) muda wote nimeichomeka kwenye switch na battery yake haijadepreciate sana,

Pia ninavyofahamu cell za battery huchakaa pale zinapoisha na kuchajiwa, hivyo battery inapokua empty na kuchajiwa inamaana zile cell zake zitachakaa haraka kuliko ikiwa full na battery kuendelewa kuchajiwa.

Pia vifaa vya siku hizi vipo smart battery ikijaa sio kwamba itaendelea tu kupewa charge kuna namna ya kuwaste hio energy soma zaidi hapa

electricity - What happens to a fully charged battery, when you continue to charge it? - Physics Stack Exchange
 
daa hujazima pc toka 2011, asante mkuu umenipa mwanga na kunitoa wasiwasi maana mi mwenyewe huwa naacha hivyo ila nilikuwa nahisi itaharibika
 
Battery ukiiacha kwenye chaji haina madhara kwa sababu pc ikishajaa chaji, inaanza ku-consume umeme kutoka kwenye adaptor. Na sometimes, inaweza battery ikashuka hata one percentage then pc ikaanza kuijaza battery.
Battery za lithium ion hazitakiwi kuachwa mpaka zikaisha kabisa. Mara nyingi wataalamu wanashauri kwamba, battery ikifika angalau 40% unatakiwa uichaji mpaka ijae. Lakini option hii ni kwa wale wasiopenda kuiacha laptop kwenye ikiwa charging muda wote.

At most times, kwa battery za simu ni zinabehave tofauti na za laptop. Ukiiacha simu charging kwa muda mrefu au ukiwa unaitumia simu ikiwa kwenye wall socket, battery meter inafail kuonyesha kiwango sahihi cha chaji kwenye battery yako. Ndiyo maana sometimes unakuta unatumia simu halafu inazima tu. Ukiiwasha inaonyesha bado chaji ipo ya kutosha au unakuta chaji inadrop kwa haraka sana lakini ukiiwasha simu unakuta bado kuna kiwango cha chaji cha kutosha.
 
Simple and clear. Lithium batteries ndio tecnology ya battery inayotumika kwa sana sasa. Haziathiriwi sana na kukaa iddle pia hazihitaji sana kufanyiwa calibration ya mara kwa mara. Pia kila battery ambayo ni rechargeable inakuwa na intelligent circuit board ambayo inacontrol kinachoingia na kinachotoka kwenye battery pia zinazuia overcharging na overdraining.

Batteries ambazo ni dhaifu ni zile battery za kitambo za NiCD
 
nimekupata mkuu... ila hapo kwenye intelligent circuit ni sawa na integrated circuit?
 
Back
Top Bottom