security
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 322
- 75
Wakuu salamu kwenu. Naomba mwenye kufahamu mahali ambako naweza kupata spair hio hapo juu. Back key haifanyi kazi hivyo nimeshauliwa ninunue touch nyingine. Nimehangaika Iringa bila mafanikio najua kwa dar ninaweza pata lakini sijui nitapata wapi. Simu nyingine ni shiida najuta.